Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
- Thread starter
-
- #121
HAKUNA CHA AJABU JAMAANI. KHAAA.
Ni Yanga hawana hela tu,hii ilitosha kumtimua huyu mzeeZahera bwana kaweka rehani timu yake kwa ajili ya vita iifunge simba
Sent using Jamii Forums mobile app
Kupoteza kwenu sisi tuna faida,na sisi kufungwa na Vita nyie mnafaidika na nini
Kwa tunaoijua yanga wala hatuna presha
Dakika zetu zile zile za jion
Ndo zao sidhani kama watakuwa na hamu tena kushabikia vitaWatasema LIPULI wamenunua mechi... hawakosi sababu
Ndugu mtangazaji maliza matangazo ya mpira basi
Hahahaaaaa. Hapo presha zipo juu wameona huu ndio uzi wa kujifariji. π π π π
Imesomekaje hiyooooooo!!???
Tumekubali matokeo
Hahaha mtani mmekuwa bize sana na mechi yetu ujue# kamweneAtakuwa kitandani presha imempanda akiiwaza saa moja. πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Sijui Zahera uso wake atauficha wapi, natamani kwenye mechi ya Simba camera im-zoom.Hapo anadondosha zingine 6. Adam wana spidi
Zahera atakuwa kapata somo kubwaZahera bwana kaweka rehani timu yake kwa ajili ya vita iifunge simba
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu wanamtetea....Lipuli mmenifurahisha sana ...Mna focus na Simba mpaka mnasahau timu yenu, Zahera yuko Dar timu iko Iringa Leo hamtoki!!!
Yametimia ....hongera Lipuli FC
Simba tunashinda hii mechiHahahaaaaa. Hapo presha zipo juu wameona huu ndio uzi wa kujifariji. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]