Ligi Kuu Tanzania Bara: Lipuli FC vs Yanga SC Kutoka dimba la Samora Iringa Machi 16-2019

Naenda Kongo kwa timu ya Taifa, sipo Tanzania[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tumekubali matokeo

Sio nyinyi mkifungwa kila mtu mnamuona mchawi
Mnachekesha baada ya kufungwa Kule Congo na misri mkataka kumfukuza kazi hadi hajji kisa kaacha kuomboleza kaenda kuzindua pafyum
Waambie hao.
 
Kwa tunaoijua yanga wala hatuna presha
Dakika zetu zile zile za jion
Vipi bado tu

I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]
 
Mpira umeisha wachezaji hawataki kutoka uwanjani wanasubiri bao la Ally Ally wa KMC[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Walisahau kuwa walikuwa wakicheza na Lipuli FC..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…