OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kagere anaitendea haki 15m akayovuta. Yupo serious na kaziMakambo akalale tu hana jipya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kagere anaitendea haki 15m akayovuta. Yupo serious na kaziMakambo akalale tu hana jipya
Sawa mmeshinda pongezNakazia tu Labda droo ya kabati Tater
View attachment 1032714
Halafu utasikia mtu anasema, "Nina ndoto za kucheza mpira nje ya nchi". Kwa ujinga ulioufanya nani atataka kuwa na mchezaji asiye na nidhamu na anayecheza rafu za kijinga na kuigharimu Timu?
Wanadhani kama Samatta angekuwa na ujinga kama huu angefika pale alipofika?
Fixed match..timu za mikoani zikifikisha points 30 + wanajuwa hawashuki daraja
Fixed match..timu za mikoani zikifikisha points 30 + wanajuwa hawashuki daraja
Hahahaa, uko sahihi Shunie. kituo kinachofuata ni ShinyangaKila mtu ashinde mechi zake tukutane kwenye mahesabu kauli mbiu yetu wanasimba
Mmmh. Kaka unamtaka Barca wakati humu ndani ya Bara lako bado we ni Underdog. 😎😎Hivi unawaza nini Dada?
Yataanzajeanzaje hayo matokeo mabaya kwa Mfano?
Labda TPL imualike Barcelona kuja kushiriki Ligi! Lakini kwa Vyura na wenziwe tu kwa miaka 50 sidhani kama Simba anawezapata matokeo mabaya
Nipe tu hiyo zawadi Mtani jibu litafuata. 😀Yanga anaongoza ligi au anaongoza kucheza goli nyingi? Ukipatia jibu nakupa zawadi nzuuuuri
Haya bana.mtakunywaje maji wakati mo fire zimejaa tele mtani
Umaskini mbayaMarefa hawa kweli simba akose ubingwa???
Yanga yetu tujipange aisee...nguvu ya pesa ni kubwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kutuma hiyo hela kwa ada hiyo acha kuongeza namba kwenye hela uliyotuma6BQ223V83BU Imethibitishwa Tsh1,000,000.00 imetumwa kwa 25574*****47 - ALLY MTONI Tarehe 26/2/19 saa 3:41 PM kwa ada ya Tsh22.00. Salio lako la M-Pesa ni Tsh3,730,000.60.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh. Kaka unamtaka Barca wakati humu ndani ya Bara lako bado we ni Underdog. 😎😎
Chura mliuza bei gani?Presha imeanza kupanda mtaongea mpaka kinyumbani .Manunuzi FC.