Ligi Kuu Tanzania Bara | Samora Stadium: Lipuli FC 1 - 3 Simba SC

Ligi Kuu Tanzania Bara | Samora Stadium: Lipuli FC 1 - 3 Simba SC

Dada mzee anafanya wasiyoweza kufanya vijana.

Nilikuwa najenga taifa la Meko ndo nimerudi.

I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]
Ooh. Umerudi muda mzuri sana mdogo wangu. 😅😅

Nawaona nawaona Mikia mnavyotunyima usingizi.
 
Ooh. Umerudi muda mzuri sana mdogo wangu. [emoji28][emoji28]

Nawaona nawaona Mikia mnavyotunyima usingizi.
Utalala Mei Dada kwa sasa kila mtu ashinde mechi zake

I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]
 
Wacha Weee. Kila kitamu ni Simba mwaka huu. Duuh.

Mukija kupata matokeo mabaya pia mujiite vivyo.
Matokeo mabaya yatoke wapi ?

I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]
 

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara Simba SC, leo Februari 26, 2019 wanashuka dimbani wakiwa ni wageni kumenyana na Lipuli FC katika mchezo wa marudiano wa raundi ya pili msimu huu 2018/2019

Mchezo huo unapigwa katika Uwanja wa Samora mkoani Iringa majira ya saa kumi za jioni
======

Kikosi cha Simba kitakachoanza dhidi ya Lipuli FC: Aishi Manula, Zana Coulibaly, Mohamed Hussein, Yusuph Mlipili, Pascal Wawa, Jonas Mkude, Mzamiru Yassin,Clatous Chama, John Bocco, Meddie Kagere na Emmanuel Okwi

Benchi la Simba: Deo Munishi, Asante Kwasi, Hassan Dilunga, Said Ndemla, Haruna Niyonzima, Rashid Juma na Adam Salamba

Kikosi cha Lipuli kitakachoanza; Yusuph Mohamed, William Gallas, Paul Ngalema, Ally Sonso, Haruna Shamte, Fred Tangulu, Seif Karihe, Jimmy Shoji, Paul Nonga, Daruwesh Saliboko na Steve Mganga

Benchi la Lipuli; Abdallah Makangana, Novalty Lufunga, Shaban Adda, Issa Rashid, Ibrahim Job, Keneth Masumbuko na Mussa Nampaka

UPDATES:

FT: Lipuli FC 1 - 3 Simba SC

>>> Ni patashika katika dimba la Samora mjini Iringa, Simba wanaanza na bao likifungwa na Clatous Chama dakika ya 6.

>>> Lipuli FC wanasawazisha dakika ya 18 kupitia kwa Paul Nonga.

>>> Ni yule yule Mwamba wa Lusaka, Clatous Chama anaingia tena kimiani na kuipatia Simba goli la 2 mnamo dakika ya 44

View attachment 1032721

>>> Meddie Kagere anaifungia Simba bao la tatu dakika ya 58.

View attachment 1032731
Simba Tunafyonza na kunyonya wakati mmoja

wakati ukuta.
 
Huyu Terminator Meddie Kagere hafai hata kidogo.

I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]

Na jinsi anavyotupia Bao/goli kila mchezo nahisi wewe anakufaa sana tu! [emoji23] [emoji23][emoji23]
 
Eti mechi za mazoezi. Mmmh.

Haya bana Mtani. Ila kule Algeria mjipange hasa.

Nakupongeza sana kwa kuchukuwa uwamuzi wa busara kujifariji kwa kuja kula raha kwenye Nyuzi za SIMBA SC

Venginevyo kwenye nyuzi za [emoji196] [emoji196][emoji196] ungeteseka tu na kupata shida kwa Mastress.

Endelea kuwa nasi najua moyoni damu ya Simba inakuingia polepole.

Kule madimbwini utazama mtani.

Kuwa karibu na Muasumini (Simba) ili nawe unukie.
 
Wacha Weee. Kila kitamu ni Simba mwaka huu. Duuh.

Mukija kupata matokeo mabaya pia mujiite vivyo.

Hivi unawaza nini Dada?
Yataanzajeanzaje hayo matokeo mabaya kwa Mfano?

Labda TPL imualike Barcelona kuja kushiriki Ligi! Lakini kwa Vyura na wenziwe tu kwa miaka 50 sidhani kama Simba anawezapata matokeo mabaya
 
Kuna faida ya kucheza CAF Champions Hatua ya Makundi !! Yaani Simba Wanachukua Point kama za mezani kabisa.

Timu inagusa Gozi Hadi Yanga wanahisi Tunawaonea kabisa,, Eti tunanunua mala Tunabebwa.. Yaani hawaongei Lugha Moja , Mkubali au Mkatae Simba Mooootooo!!!
Huyu Medy Kagere anakabwa kama Mwizi lakini Anatupia tu

Simba 1-0 Yanga
Simba 3-0 Lion
Simba 3-1 Azam
Simba 3-1 Lipuli
POINT 12 mechi 4, Goli 10

Tunaenda kwa Wapiga Debe Stendi United Then Uarabuniii

Yanga mtatusamehe Simba Tumekata Break
 
Back
Top Bottom