Ligi Kuu Tanzania Bara | Samora Stadium: Lipuli FC 1 - 3 Simba SC

Wachezaji wengi wa tanzania HAWANA AKILI. Wavuta bhangi walisha feli maisha. Ndo tatizo kubwa linalowasumbua. Utaona hata rafu wanazocheza ni za kipuuzi chuki,unazi na zisizo na faida. Jamaa alipaswa hata kupewa kadi NYEUSI KABISA.... Ukimwangalia utajua alishavuta bhangi kabla hajaingia uwanjani....


 
Ni kweli hata Yanga nao waliamua kuiachia simba ile mechi sababu wameshavuka mstari wa kushuka daraja.

Fixed match..timu za mikoani zikifikisha points 30 + wanajuwa hawashuki daraja
 
Reactions: Tui
Hivi unawaza nini Dada?
Yataanzajeanzaje hayo matokeo mabaya kwa Mfano?

Labda TPL imualike Barcelona kuja kushiriki Ligi! Lakini kwa Vyura na wenziwe tu kwa miaka 50 sidhani kama Simba anawezapata matokeo mabaya
Mmmh. Kaka unamtaka Barca wakati humu ndani ya Bara lako bado we ni Underdog. 😎😎
 
Yanga wanatamani wapeleke malalamiko FIFA kua Lipuli waliuza Mechi kwa simba, Ila walivyokumbuka kua hata wao waliwauzia simba mechi wameamua wasipeleke malalamiko FIFA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Tui
Mavi yameanza kugonga chupi.Kila lugha itaongewa.
Kila kisingizio kitatajwa.
 
Tukitinga Robo Hawa Yanga wataunga mkono Juhudi zetu Wallah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…