Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Naona kama umesahau kua ulisema tumenunua mechi. Yaani tutoe pesa tununue draw sisi?
Sent using unknown device
Bro vipi na hawa wamecheza Fixed niniNilifikiri labda muamala umerudishwa..ila napokea taarifa hapa umepokelewa kwa pande zote
Sent using Jamii Forums mobile app
bora kutizama X sio refa anacheza na lipuli
Wouzeeerrrrr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] niheme sasa bado dk ngapi mpira uisheMnyama 2 - lipuli 1
Timu ndogo na speed ndogo. Tunafunga mziki kulingana na ukubwa wa shereheAngalia Tunavyo cheza yaani Magoli yakujitokea tu sio Kasi ya Ukweli kweli
Bado tuna mtihani hawa madogo wametuzoea sasa
Kwa kweli udogo wa Uwanja unawafanya wachezaji wasiweze kucheza vizuri.Angalia Tunavyo cheza yaani Magoli yakujitokea tu sio Kasi ya Ukweli kweli
Bado tuna mtihani hawa madogo wametuzoea sasa
Kwa kikosi cha simba. Timu ya kufanyiwa muamala ili simba ishinde sijaionaNilifikiri labda muamala umerudishwa..ila napokea taarifa hapa umepokelewa kwa pande zote
Sent using Jamii Forums mobile app
Woyooooooooomediiiiieeeeeeeeeeeeeeeee
Ni 1-3SIMBAAAAAAAAAAAAAA 3-1
hataaariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiWoyooooooooo