Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Hatariiii fireeeee [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]hataaariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Mkuu Simba wakicheza huwa unalalamika sana
hahhahahahahahahaahahahaha kweliii hii hatariiiii fireeeeeeHatariiii fireeeee [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Utani tu mkuu...mbona nimeweka simba hapa kiroho kinanidunda goli zisirudi hahahahMkuu Simba wakicheza huwa unalalamika sana
Kwa Kikosi hichi cha Simba kuna timu kweli ya kupewa muamala?
Simba rahaaaa sanaaaaaaa inakusahaulisha stress zotehahhahahahahahahaahahahaha kweliii hii hatariiiii fireeeeee
πππππππ
Baado saana. Yaani inawezekanaje tukawa na Timu ya "Premier" Kocha ndiyo anakuwa kila kitu kuanzia kuwa msemaji wa timu, mfadhili, mganga na kiongozi wa timu?Soka letu bado sana
Muamala umesitishwa hakikisha una akili ya kutosha ya kukuwezesha kuchanganua mechi za kuzifanyia muamala6BQ223V83BU Imethibitishwa Tsh1,000,000.00 imetumwa kwa 25574*****47 - ALLY MTONI Tarehe 26/2/19 saa 3:41 PM kwa ada ya Tsh22.00. Salio lako la M-Pesa ni Tsh3,730,000.60.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa MkuuUtani tu mkuu...mbona nimeweka simba hapa kiroho kinanidunda goli zisirudi hahahah
Sent using Jamii Forums mobile app
bwanaah bwanaah zitatokaa wapiii ...Simba rahaaaa sanaaaaaaa inakusahaulisha stress zote
Simba pia kile kilikua sio kiwango chao watakua walipewa hongo, haiwezekani yanga ipigwe moja tu kwenye kikosi kile cha bilion na upuuziLipuli sio kiwango chao hiki wameuza mechi.............Alisikika mlevi mmoja akisema