Ligi Kuu Tanzania Bara | Samora Stadium: Lipuli FC 1 - 3 Simba SC

Simba pia kile kilikua sio kiwango chao watakua walipewa hongo, haiwezekani yanga ipigwe moja tu kwenye kikosi kile cha bilion na upuuzi

Sent using unknown device
Halafu cha kuchekesha, ule mchezo wa kwanza, walitoka sare na Simba, lakini wanadai walicheza mchezo wa hovyo sana. Huu wa majuzi, wanadai walicheza vizuri, wakapigwa kimoja!
 

Halafu utasikia mtu anasema, "Nina ndoto za kucheza mpira nje ya nchi". Kwa ujinga ulioufanya nani atataka kuwa na mchezaji asiye na nidhamu na anayecheza rafu za kijinga na kuigharimu Timu?

Wanadhani kama Samatta angekuwa na ujinga kama huu angefika pale alipofika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…