Jaby'z
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 4,303
- 7,629
We jamaa una mtungi kichwani, akili zote kaziteka akilimali.
Weka na muamala tulomtumia yule beki aliyelazwa na zana coulibaly
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oooh. Sawa MkuuHauwezi kutukana Mamba kabla ya kuvuka Mto
Akwende tu kudadeki[emoji3532] P. Ngalema
Unakuja kunisaidia nn tater
Wadhani. 😎😎😎
Dkk ya ngapi kwani? 😎😎Loading.......
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Wadhani. 😎😎😎
Zidake alafu warushie wayangaKuna mashabiki wameanza kurusha chupa uwanjani.
Halafu cha kuchekesha, ule mchezo wa kwanza, walitoka sare na Simba, lakini wanadai walicheza mchezo wa hovyo sana. Huu wa majuzi, wanadai walicheza vizuri, wakapigwa kimoja!Simba pia kile kilikua sio kiwango chao watakua walipewa hongo, haiwezekani yanga ipigwe moja tu kwenye kikosi kile cha bilion na upuuzi
Sent using unknown device
Duuh
Basi hapo tutazungumza vizuriNaanzaje kuokoka nilikujaza tu bwana niokoke beer nimwachie nanii
Dkk ya ngapi kwani?
N'yajulie wapi miee. Kuna kuna nini?😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Pole sana, sasa yanayotokea huko Iringa unayajua?
Nyingi tu zimebaki. Zinatosha kabisa simba kupata gori tatu nyingineDkk ya ngapi kwani? [emoji41][emoji41]
Tanesco katika ubora waoN'yajulie wapi miee. Kuna kuna nini?
Hahahahaa, daima wapi? Nyuma nini?😛😛😎N'yajulie wapi miee. Kuna kuna nini?