Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Zimefika Khamsa au? 😅Mauaji ya halaiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zimefika Khamsa au? 😅Mauaji ya halaiki
kwa hiyoMarefa hawa kweli simba akose ubingwa???
Yanga yetu tujipange aisee...nguvu ya pesa ni kubwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani huku sabskraibu kwenye chanel ya kagere?Ooh. Thanks.
Endelea kuleta Updates Mkuu
hahaha nini wew[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1032711
Sent using Jamii Forums mobile app
TANESCO hawajafanya yao huko?Zimefika Khamsa au? 😅
Yanga=jangaMarefa hawa kweli simba akose ubingwa???
Yanga yetu tujipange aisee...nguvu ya pesa ni kubwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
6BQ223V83BU Imethibitishwa Tsh1,000,000.00 imetumwa kwa 25574*****47 - ALLY MTONI Tarehe 26/2/19 saa 3:41 PM kwa ada ya Tsh22.00. Salio lako la M-Pesa ni Tsh3,730,000.60.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakazia tu Labda droo ya kabati TaterLinarud hilo ushindi wa simba droo
Wameshafanya tayari nipo home umeme hakuna. Kweli ujue.TANESCO hawajafanya yao huko?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana hakuna kitu kama hicho
Unakuja kunisaidia nn taterHema tuu.. Ukishindwa kuhema, nakuja kukusaidia...
Naanzaje kuokoka nilikujaza tu bwana niokoke beer nimwachie naniiWe si umeokoka,Mpira ukiisha endelea kupiga vijoti!
Vinasaidia kupunguza mawazo
Mtoto halali na hela Van pebles 100 Likes Wacheni uoga Watani siwaoni humu na sio kawaida yenu.
AU MPAKA MPIRA UISHE. 😅😅
Yes Kapungua mmoja. Nasubiri manula nae atupie lakwakeKadi nyekundu kwa mchezaji wa Lipuli baada ya kumchezea rafu ya makusudi MK14...
Upo sahihi! Kwa kiwango cha timu yenu, itawachukua muda mrefu kuifikia Simba ilipo!
Loading.......Zimefika Khamsa au?
TehTANESCO hawajafanya yao huko?