Ligi Kuu Tanzania Bara: Simba vs JKT Ruvu

Ligi Kuu Tanzania Bara: Simba vs JKT Ruvu

Simba SC hii nikikutana nayo, kama nikiipiga chini bao 3...... Point 3 za kwao.
 
Wakamie mechi zote sio wakubanwa simba tu,akija Yanga wanaachia.Simba leo wamecheza slow sana kitu ambacho si kizuri hasa kwa timu inayotafuta kurudi kwenye njia.
 
Huwezi kuwa mwakilishi imara bila ya kubanwa nyumbani na timu ndogo.Azam walibanwa leo wamejisahihisha.Ligi bora hainaga timu yakubebwa.Ligi mbovu offside zote ni magoli.
 
Wamatopeni ebu muulizeni hanz pope yule mchezaji aliyesema atafunga kila mechi leo amekuaje?
 
Ila yule namba 2 wa simba aliecheza jana hastahili kuitumikia simba kabisa maana uwezo wake upo chini mno. Bora wangemuacha Nimuboma asee kuliko Malika Ndeule
 
Back
Top Bottom