Ligi Kuu Tanzania Bara: Simba vs JKT Ruvu

Ligi Kuu Tanzania Bara: Simba vs JKT Ruvu

LIVE VIDEO:



UPDATES:

Mpira umeanza dak ya 2 sasa

Kona ya kwanza kwa simba inaokolewa na JKT Ruvu. Mpira umetulia wanacheza kwa kuonana Simba wakionesha kuwa na kasi na pia JKT Ruvu wakiwa wametulia langoni mwao.

Dk ya 27 simba wanagongeana vizuri kabisa lakini kipa wa jkr anakuwa makini kuuwah mpira usifike kwa mavugo.

Leo mechi ya Yanga hatuioni humu
 
Ila yule namba 2 wa simba aliecheza jana hastahili kuitumikia simba kabisa maana uwezo wake upo chini mno. Bora wangemuacha Nimuboma asee kuliko Malika Ndeule
Walimfukuza. Hassan Kessy wanadai mamluki
 
Back
Top Bottom