Bangi siyo nzuri kwa watoto...97' Mavugooooooooooooooooo
JKT Ruvu 1 vs 0 Simba SC.
Mtani bado mapema usikate tamaa ila leo kidogo unapo pa kuchekea Wenger kafanya yake.Duh.!!
Mkuu hata mimi msimbazi. Hii kitu huwa hata mimi nawaza. Inawezekana.Mavugoooooooooooioii,leo wamemkataaaaaàaaaaaaa pelekeni rambirambi ya mafisango nyie kuna mtu atashuka daraja mwaka huuuu
Hahahah mtani vijana wa Wenger Jana walinifanya nikatabasamu kidogoMtani bado mapema usikate tamaa ila leo kidogo unapo pa kuchekea Wenger kafanya yake.
Ndio hivyo ila mjipange ligi ngumu jamaniHahahah mtani vijana wa Wenger Jana walinifanya nikatabasamu kidogo
Arsenal ni homa ya vipindi, itarejea tu.Hahahah mtani vijana wa Wenger Jana walinifanya nikatabasamu kidogo
Jamaa wapeleke hata milion kumi tuu,zitaondoa matatizo,mbaya sana kula pesa ya rambirambi aseeeeMkuu hata mimi msimbazi. Hii kitu huwa hata mimi nawaza. Inawezekana.
Jamaa wapeleke hata milion kumi tuu,zitaondoa matatizo,mbaya sana kula pesa ya rambirambi aseeee