Leo mechi ya Yanga hatuioni humuLIVE VIDEO:
https://www.facebook.com/video.php?v=1207252739338718
UPDATES:
Mpira umeanza dak ya 2 sasa
Kona ya kwanza kwa simba inaokolewa na JKT Ruvu. Mpira umetulia wanacheza kwa kuonana Simba wakionesha kuwa na kasi na pia JKT Ruvu wakiwa wametulia langoni mwao.
Dk ya 27 simba wanagongeana vizuri kabisa lakini kipa wa jkr anakuwa makini kuuwah mpira usifike kwa mavugo.
Kuna mtu ana bango kaandika "bajaji ya udongo utaijua wakati wa mvua.Baiskeli ya miti mapema kabisa. The teh teh! !
Walimfukuza. Hassan Kessy wanadai mamlukiIla yule namba 2 wa simba aliecheza jana hastahili kuitumikia simba kabisa maana uwezo wake upo chini mno. Bora wangemuacha Nimuboma asee kuliko Malika Ndeule
Hii nI ligi sio mechi zao na Moro Kids. Bajaji ya wamatopeni imefia standKuna mtu ana bango kaandika "bajaji ya udongo utaijua wakati wa mvua.
Mkia sawa na gari la MkaaKila la kheri chama langu msimbazi