Ligi Kuu Tanzania, Bara: Singida United 0 - 0 Yanga SC

Jinsi mikia wanavyofurahi Yanga ikitoka sare, ni uthibitisho kuwa wana hofu kubwa na hawajiamini. Yanga itakuwa klabu bingwa mwaka huu na confederation pia tunachukua.
Mikia lazima ilowe.
 
Jinsi mikia wanavyofurahi Yanga ikitoka sare, ni uthibitisho kuwa wana hofu kubwa na hawajiamini. Yanga itakuwa klabu bingwa mwaka huu na confederation pia tunachukua.
Mikia lazima ilowe.

Vyura munajiamini ndiyo mana Simba Tukitoka Sare au Tukifungwa huwa Munasikitika na Kuumia sana.
 
Watanzania hatuna akili...na hatuwezi chochote...nimeangalia msimamo wa ligi Misri aliyecheza mechi nyingi 21 na All Ahly kacheza 17 na nimeangalia DRC As Vita kacheza mechi 17 na mwenye mechi nyingi 19....Tuanze kuona aibu kwenye mambo yetu tutachekwa na dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…