Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Timu ya Wananchi lakini Naona Wananchi wenyewe wameikimbia timu yao hapa teh teh teh teh teh teh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena Huyo ndie amekaba leo wasifungwe!!Vipi yule Makombo alikuwemo?
Jinsi mikia wanavyofurahi Yanga ikitoka sare, ni uthibitisho kuwa wana hofu kubwa na hawajiamini. Yanga itakuwa klabu bingwa mwaka huu na confederation pia tunachukua.
Mikia lazima ilowe.
Bwahaa haha haaaJinsi mikia wanavyofurahi Yanga ikitoka sare, ni uthibitisho kuwa wana hofu kubwa na hawajiamini. Yanga itakuwa klabu bingwa mwaka huu na confederation pia tunachukua.
Mikia lazima ilowe.
ADUI MUOMBE NJAAJinsi mikia wanavyofurahi Yanga ikitoka sare, ni uthibitisho kuwa wana hofu kubwa na hawajiamini. Yanga itakuwa klabu bingwa mwaka huu na confederation pia tunachukua.
Mikia lazima ilowe.
Vyura walivyokuwa wakishinda kwa bahati walifikiri wana timu nzuri naona sasa pumba zinajitenga na mcheleVyura walitangulia na baiskeli ya barafu, jua la utosi la saa sita linaanza kuwambua
Leo alicheza Herieth..Vipi yule Makombo alikuwemo?
Nashangaa kwangu hakuna, inawezekana hii app yangu ni old version au ni kwa wale tulio nje ya nchi.....ngoja niicheck , shida sijui itakuwa nn.Mbona zipo!!!?
View attachment 1015036
Vyura walivyokuwa wakishinda kwa bahati walifikiri wana timu nzuri naona sasa pumba zinajitenga na mchele
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga wanataka ligi isimame mpaka Simba acheze viporo
JKT Tanzania wamekunja nne Tanga pale mkwakwani wanawasubiri...Yanga wanataka ligi isimame mpaka Simba acheze viporo
HahahaHahhahahha baba wawili hata wewe kweli