Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) - Mkapa Stadium | Yanga SC v Simba SC

Natabiri leo ndiyo mechi ya ya mwisho kwa kishingo kama kocha wa mikia
 
Badala ya kuanza na Bwalya angeanza Dilunga ama Kahata.

Mi naona shida itaanzia hapo
Bwalya kuanza ni sahihi Tayari hapo tuna Holding midfielder wa wawili Bwalya atakuwa na kazi moja tu ya Kui drive timu kwenda mbele kwa speed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…