Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
huo ndio uwezo wa simba, sema nje ya uwanja inakuzwa sana.uwezo wake mdg sana sawa na njombeSimba leo wametudhalilisha sana sisi wana msimbavu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vipi tena..Goli lilivyosawazishwa ulipata mshtuko auMambo gani jamani haya
huo ndio uwezo wa simba, sema nje ya uwanja inakuzwa sana.uwezo wake mdg sana sawa na njombe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vipi tena..Goli lilivyosawazishwa ulipata mshtuko au
[emoji736][emoji736][emoji818][emoji818]mkeka umetikiWatani hawa nani aminywa ,kwa tafsiri yangu dro ,
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Hii mechi ni sare
hamna kadi nyekundu kwenye mechi ya leoHakuna aliyepewa nyekundu kwa upande wa Simba?
moja mojamatokeo vp mkuu
vs Cha milioni 400Kikosi cha bilion 1.3
Hahahaha aiseeDah! Mumefikia Pahala Sasa Munashangiria Draw!!! Kumbe Mushajijua Kama Timu Yenu Ni Ndogo, Kwahiyo Draw na Timu Kubwa Kama Simba ni Furaha Kwenu..
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] comrade pamoja sanaDuh Comrade Joseverest unahitaji tuzo maana hizi updates zilikuwa si za kawaida
Huyu Kichuya Mwishowake Wote itabidi Awaowe tu Yanga
Hawa jamaa walitudanganya sana eti kikosi cha bilioni, nilikuwa uwanjani na mashabiki wa simba wanatia huruma wengine wanataka omog aondoke wengine wanataka manara mropokaji apigwe chiñi pia wengine wanataka Mavugo avunjiwe mkataba maana ni mzito kama kafungwa vyuma miguuni...nilibaki kucheka tuvs Cha milioni 400