Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) | Mzunguko wa 8: Young Africans SC Vs Simba SC, Washindwa kutambiana. 28 Oktoba 2017

Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) | Mzunguko wa 8: Young Africans SC Vs Simba SC, Washindwa kutambiana. 28 Oktoba 2017

Hivi hizi timu si zote zinatoka kariakoo? Je hiki ndio kikosi cha billioni moja?
 
tapatalk_1509189933937.jpeg

 
huo ndio uwezo wa simba, sema nje ya uwanja inakuzwa sana.uwezo wake mdg sana sawa na njombe

Sasa Ndiyo unamaanisha nini?
Kwanini Kama Simba Hamna Kitu Nyie [HASHTAG]#YeboYebo[/HASHTAG] Musishinde?
Au unamaanisha Kutoka Sare na Timu Kama Simba Ndiyo Ubabe Wako?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vipi tena..Goli lilivyosawazishwa ulipata mshtuko au


Dah! Mumefikia Pahala Sasa Munashangiria Draw!!! Kumbe Mushajijua Kama Timu Yenu Ni Ndogo, Kwahiyo Draw na Timu Kubwa Kama Simba ni Furaha Kwenu..
 
vs Cha milioni 400
Hawa jamaa walitudanganya sana eti kikosi cha bilioni, nilikuwa uwanjani na mashabiki wa simba wanatia huruma wengine wanataka omog aondoke wengine wanataka manara mropokaji apigwe chiñi pia wengine wanataka Mavugo avunjiwe mkataba maana ni mzito kama kafungwa vyuma miguuni...nilibaki kucheka tu
 
Back
Top Bottom