Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) | Mzunguko wa 8: Young Africans SC Vs Simba SC, Washindwa kutambiana. 28 Oktoba 2017

Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) | Mzunguko wa 8: Young Africans SC Vs Simba SC, Washindwa kutambiana. 28 Oktoba 2017

Dakika ya 29 yanga juma abdul anapiga faulu inazuiwa anaipata TShishimbi anapiga shuti kali linalozaaa kona hapa...Yanga wanamimina MaJaro hapa lakini mpira unatoka nje
 
Dakika ya 31 yanga wanakosa nafasi ya wazi...Chirwa alikokota mpira kwa uzuri kabisa lakini alivyotoa pasi hakuwepo mtu wa kumalizia pale...daaaaah
 
Dakika ya 34 Ajibu anacheza faulo kwa mchezaji wa Simba
 
Dakika ya 35 tshabalala na Buswita wanachuana vikali hapa
 
Back
Top Bottom