Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,658
3-0Nini kinaendelea huko wengine tunategemea hapa kupata habari, tumeambiwa mechi itachezwa saa kumi kama unajua kinachoemdelea anzisha uzi wa ku tu update kati ya JKT vs Yanga
Yanga anaongoza 3 kwa mtungiNini kinaendelea huko wengine tunategemea hapa kupata habari, tumeambiwa mechi itachezwa saa kumi kama unajua kinachoemdelea anzisha uzi wa ku tu update kati ya JKT vs Yanga
Safi ndo habari njema hizo wapo dakika ya ngapi?Yanga anaongoza 3 kwa mtungi
Habari mbaya sana hii kwa mbumbumbu fcYanga anaongoza 3 kwa mtungi
Mbaya mno sidhani kama watagusa jukwaa hiliHabari mbaya sana hii kwa mbumbumbu fc
Lipuli je?Tumechi twamchangani hutuu
Na MbaoLipuli je?
Narudia tena, muhimu ni point 3 haijalishi tunapitia magumu kiasi gani......go go go Yanga, mnatupa raha sana hakikaTumechi twamchangani hutuu
Mkuu, sisi tunaongelea Zamalek, al Ahly, Mamelod Sundown etc wewe unatuambia habari za Jkt?Ushindi WA leo ni pgo kwa wanasimba (MIKIA FC) mtawasikia kuwa mwaka huu tulikuwa na mechi za kimataifa wachezaji wanachoka hamtaamin yanga na kikosi hki atafanya maajabu
Mdogo mdogo hadi ndoo irudi sehemu yake.Narudia tena, muhimu ni point 3 haijalishi tunapitia magumu kiasi gani......go go go Yanga, mnatupa raha sana hakika
[emoji1666]