Ligi kuu Tanzania Bara: Yanga Afrika 3 - 0 JKT Tanzania

Ligi kuu Tanzania Bara: Yanga Afrika 3 - 0 JKT Tanzania

Askari Muoga

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
6,113
Reaction score
4,658
Timu ya mpira wa miguu Yanga Afrika imbeibuka na ushindi wa magoli matatu huku vyavu zao zikiwa hazijaguswa. Magoli ya Yanga yamefungwa na Heritier Makambo(dk 20), Mrisho Ngassa(dk 53) na Ajibu Migomba(dk 79).

Ushindi huo unaifanya Yanga ifikishe pointi 35 baada ya michezo 13 na kuongoza ligi.

DtLi7NvXoAspO2J.jpg
 
Nini kinaendelea huko wengine tunategemea hapa kupata habari, tumeambiwa mechi itachezwa saa kumi kama unajua kinachoemdelea anzisha uzi wa ku tu update kati ya JKT vs Yanga
 
Ushindi WA leo ni pgo kwa wanasimba (MIKIA FC) mtawasikia kuwa mwaka huu tulikuwa na mechi za kimataifa wachezaji wanachoka hamtaamin yanga na kikosi hki atafanya maajabu
Mkuu, sisi tunaongelea Zamalek, al Ahly, Mamelod Sundown etc wewe unatuambia habari za Jkt?
 
Back
Top Bottom