Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
wewe ni mikia Fc orijino.Mkuu, sisi tunaongelea Zamalek, al Ahly, Mamelod Sundown etc wewe unatuambia habari za Jkt?
Hawana uwezo raund ya pili nje haowewe ni mikia Fc orijino.
Acha uongo mkuu, nyie endeleeni kumuimbia mapambio MO Dewji Sisi letu bakuli na ushindi mpaka kieleweke.Kama maneno ya kocha Mwinyi Zahera ni ya kweli, kwamba wachezaji wamecheza mechi ya leo bila kula, basi ndani ya klabu hiyo lipo tatizo kubwa ambalo sisi wengine hatulifahamu.
Lakini kuna jambo jingine nimejifunza, Kwamba Zahera anaipenda Yanga kutoka moyoni na anaishi na wachezaji kama mzazi anayestahili kuitwa mzazi.
Hata hivyo sitashangaa kusikia siku moja akifungashiwa virago, maana timu zetu hizi ni pasua kichwa kweli kweli.
Kwa wapenzi wa Yanga, Jamani turudisheni tena lile bakuli letu, kama wafadhili wamegoma? buku buku zetu zinatosha kabisa kuwatunza wachezaji wetu.
Kweli mikia mpo kazini, malezo ya kocha yapo wazi simbaff ndiyo imebadilisha ratiba. Lakini manara alisema mko vizuri kucheza nje ya uwanja.Kama maneno ya kocha Mwinyi Zahera ni ya kweli, kwamba wachezaji wamecheza mechi ya leo bila kula, basi ndani ya klabu hiyo lipo tatizo kubwa ambalo sisi wengine hatulifahamu.
Lakini kuna jambo jingine nimejifunza, Kwamba Zahera anaipenda Yanga kutoka moyoni na anaishi na wachezaji kama mzazi anayestahili kuitwa mzazi.
Hata hivyo sitashangaa kusikia siku moja akifungashiwa virago, maana timu zetu hizi ni pasua kichwa kweli kweli.
Kwa wapenzi wa Yanga, Jamani turudisheni tena lile bakuli letu, kama wafadhili wamegoma? buku buku zetu zinatosha kabisa kuwatunza wachezaji wetu.
Nimeipenda sana post yakoMkuu, sisi tunaongelea Zamalek, al Ahly, Mamelod Sundown etc wewe unatuambia habari za Jkt?
Mbaya mno sidhani kama watagusa jukwaa hili
Mkuu hawa jamaa niwa kuwaonea huruma, wanafikiria sisi tunawazia ligi ya hapa nyumbani kwa sasa, lengo letu kwa sasa ni kufikia hatua ya makundi katika klabu bingwa barani Africa, mambo ya kuwazia jkt, KMC, African lyon tumewaachia wenyewe vyura fc.Mkuu, sisi tunaongelea Zamalek, al Ahly, Mamelod Sundown etc wewe unatuambia habari za Jkt?
Kuweni makini mkienda Eswatini..Azam walicheza kwenye uwanja wa Somhlolo National Stadium ila mikia mtacheza uwanja wa Mavuso sports center huko juu milimani na majukwa madogo kutakuwa na upepo mkali kama mechi ya Taifa stars LesothoMkuu hawa jamaa niwa kuwaonea huruma, wanafikiria sisi tunawazia ligi ya hapa nyumbani kwa sasa, lengo letu kwa sasa ni kufikia hatua ya makundi katika klabu bingwa barani Africa, mambo ya kuwazia jkt, KMC, African lyon tumewaachia wenyewe vyura fc.
Tunawatakia kila kheri katika michuano hiyo mikubwa muweze kutuwakilisha vyema Wakuu!!!Mkuu hawa jamaa niwa kuwaonea huruma, wanafikiria sisi tunawazia ligi ya hapa nyumbani kwa sasa, lengo letu kwa sasa ni kufikia hatua ya makundi katika klabu bingwa barani Africa, mambo ya kuwazia jkt, KMC, African lyon tumewaachia wenyewe vyura fc.
Kumbe ni kufika makundi tuu, na sio kuchukua ndooMkuu hawa jamaa niwa kuwaonea huruma, wanafikiria sisi tunawazia ligi ya hapa nyumbani kwa sasa, lengo letu kwa sasa ni kufikia hatua ya makundi katika klabu bingwa barani Africa, mambo ya kuwazia jkt, KMC, African lyon tumewaachia wenyewe vyura fc.
Kila kitu kinakwenda kwa hatua, mtoto hawezi kuzaliwa na kuanza kutembea hapo hapo.Kumbe ni kufika makundi tuu, na sio kuchukua ndoo
subiri uone..........Hawana uwezo raund ya pili nje hao
Hakika tutafanya vyema kabisa mkuu, hatuwezi kuwaangusha watanzania kama yanga ilivyofanya, sisi ni tofauti kabisa.Tunawatakia kila kheri katika michuano hiyo mikubwa muweze kutuwakilisha vyema Wakuu!!!
Akitupeleka kwenye uwanja wa hovyo yeye ndio atapata tabu, kwasababu anahitaji matokeo mazuri kitu ambacho kinamlazimu ajipange sawa sawa mojawapo ni kucheza kwenye uwanja wa mzuri na bora.Kuweni makini mkienda Eswatini..Azam walicheza kwenye uwanja wa Somhlolo National Stadium ila mikia mtacheza uwanja wa Mavuso sports center huko juu milimani na majukwa madogo kutakuwa na upepo mkali kama mechi ya Taifa stars Lesotho
ligi yetu ina mapungufu makubwa sn, how comes mtu anakua na viporo 3?Hatimaye Yanga imerudi kwenye nafasi yake pendwa
fikirieni kuifanya yanga ijiendeshe kibiashara....... achaneni na wale wacheza bao wanaotegemea kula yao yanga!Kama maneno ya kocha Mwinyi Zahera ni ya kweli, kwamba wachezaji wamecheza mechi ya leo bila kula, basi ndani ya klabu hiyo lipo tatizo kubwa ambalo sisi wengine hatulifahamu.
Lakini kuna jambo jingine nimejifunza, Kwamba Zahera anaipenda Yanga kutoka moyoni na anaishi na wachezaji kama mzazi anayestahili kuitwa mzazi.
Hata hivyo sitashangaa kusikia siku moja akifungashiwa virago, maana timu zetu hizi ni pasua kichwa kweli kweli.
Kwa wapenzi wa Yanga, Jamani turudisheni tena lile bakuli letu, kama wafadhili wamegoma? buku buku zetu zinatosha kabisa kuwatunza wachezaji wetu.
Najua na za lipuli + mbao ndo huzitaki kabisaaaa!! Unaona ni bora tu kusikia za enyimba na wengine,mana huku mchangani kuna kuchefua sanaMkuu, sisi tunaongelea Zamalek, al Ahly, Mamelod Sundown etc wewe unatuambia habari za Jkt?
Kwa hyo simba ndo imezaliwa 2018 eti!Kila kitu kinakwenda kwa hatua, mtoto hawezi kuzaliwa na kuanza kutembea hapo hapo.