Ligi kuu Tanzania Bara: Yanga Afrika 3 - 0 JKT Tanzania

Kama maneno ya kocha Mwinyi Zahera ni ya kweli, kwamba wachezaji wamecheza mechi ya leo bila kula, basi ndani ya klabu hiyo lipo tatizo kubwa ambalo sisi wengine hatulifahamu.

Lakini kuna jambo jingine nimejifunza, Kwamba Zahera anaipenda Yanga kutoka moyoni na anaishi na wachezaji kama mzazi anayestahili kuitwa mzazi.

Hata hivyo sitashangaa kusikia siku moja akifungashiwa virago, maana timu zetu hizi ni pasua kichwa kweli kweli.

Kwa wapenzi wa Yanga, Jamani turudisheni tena lile bakuli letu, kama wafadhili wamegoma? buku buku zetu zinatosha kabisa kuwatunza wachezaji wetu.
 
Acha uongo mkuu, nyie endeleeni kumuimbia mapambio MO Dewji Sisi letu bakuli na ushindi mpaka kieleweke.
 
Kama maneno ya kocha Mwinyi Zahera ni ya kweli, kwamba wachezaji wamecheza mechi ya leo bila kula, basi ndani ya klabu hiyo lipo tatizo kubwa ambalo sisi wengine hatulifahamu.

Lakini kuna jambo jingine nimejifunza, Kwamba Zahera anaipenda Yanga kutoka moyoni na anaishi na wachezaji kama mzazi anayestahili kuitwa mzazi.

Hata hivyo sitashangaa kusikia siku moja akifungashiwa virago, maana timu zetu hizi ni pasua kichwa kweli kweli.

Kwa wapenzi wa Yanga, Jamani turudisheni tena lile bakuli letu, kama wafadhili wamegoma? buku buku zetu zinatosha kabisa kuwatunza wachezaji wetu.
Kweli mikia mpo kazini, malezo ya kocha yapo wazi simbaff ndiyo imebadilisha ratiba. Lakini manara alisema mko vizuri kucheza nje ya uwanja.
 
Mkuu, sisi tunaongelea Zamalek, al Ahly, Mamelod Sundown etc wewe unatuambia habari za Jkt?
Nimeipenda sana post yako
Ila nakuomba utuwekee msimamo wa ligi wanaoshiriki Zamalek, Al Ahly na Mamelod Sundown tuone msimamo wa table ulivyo.
Kisha tuwekee msimamo wa ligi wanayoshiriki JKT tuone table ya msimamo ulivyo.
 
Mkuu, sisi tunaongelea Zamalek, al Ahly, Mamelod Sundown etc wewe unatuambia habari za Jkt?
Mkuu hawa jamaa niwa kuwaonea huruma, wanafikiria sisi tunawazia ligi ya hapa nyumbani kwa sasa, lengo letu kwa sasa ni kufikia hatua ya makundi katika klabu bingwa barani Africa, mambo ya kuwazia jkt, KMC, African lyon tumewaachia wenyewe vyura fc.
 
Kuweni makini mkienda Eswatini..Azam walicheza kwenye uwanja wa Somhlolo National Stadium ila mikia mtacheza uwanja wa Mavuso sports center huko juu milimani na majukwa madogo kutakuwa na upepo mkali kama mechi ya Taifa stars Lesotho
 
Tunawatakia kila kheri katika michuano hiyo mikubwa muweze kutuwakilisha vyema Wakuu!!!
 
Kumbe ni kufika makundi tuu, na sio kuchukua ndoo
 
Tunawatakia kila kheri katika michuano hiyo mikubwa muweze kutuwakilisha vyema Wakuu!!!
Hakika tutafanya vyema kabisa mkuu, hatuwezi kuwaangusha watanzania kama yanga ilivyofanya, sisi ni tofauti kabisa.
 
Kuweni makini mkienda Eswatini..Azam walicheza kwenye uwanja wa Somhlolo National Stadium ila mikia mtacheza uwanja wa Mavuso sports center huko juu milimani na majukwa madogo kutakuwa na upepo mkali kama mechi ya Taifa stars Lesotho
Akitupeleka kwenye uwanja wa hovyo yeye ndio atapata tabu, kwasababu anahitaji matokeo mazuri kitu ambacho kinamlazimu ajipange sawa sawa mojawapo ni kucheza kwenye uwanja wa mzuri na bora.
 
ligi ya kihuni hii..... mtu anakua na game 3 mkononi dhidi ya wenzake????......

aibu sn
 
Kama maneno ya kocha Mwinyi Zahera ni ya kweli, kwamba wachezaji wamecheza mechi ya leo bila kula, basi ndani ya klabu hiyo lipo tatizo kubwa ambalo sisi wengine hatulifahamu.

Lakini kuna jambo jingine nimejifunza, Kwamba Zahera anaipenda Yanga kutoka moyoni na anaishi na wachezaji kama mzazi anayestahili kuitwa mzazi.

Hata hivyo sitashangaa kusikia siku moja akifungashiwa virago, maana timu zetu hizi ni pasua kichwa kweli kweli.

Kwa wapenzi wa Yanga, Jamani turudisheni tena lile bakuli letu, kama wafadhili wamegoma? buku buku zetu zinatosha kabisa kuwatunza wachezaji wetu.
fikirieni kuifanya yanga ijiendeshe kibiashara....... achaneni na wale wacheza bao wanaotegemea kula yao yanga!
 
Mkuu, sisi tunaongelea Zamalek, al Ahly, Mamelod Sundown etc wewe unatuambia habari za Jkt?
Najua na za lipuli + mbao ndo huzitaki kabisaaaa!! Unaona ni bora tu kusikia za enyimba na wengine,mana huku mchangani kuna kuchefua sana
 
Back
Top Bottom