Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
Kama maneno ya kocha Mwinyi Zahera ni ya kweli, kwamba wachezaji wamecheza mechi ya leo bila kula, basi ndani ya klabu hiyo lipo tatizo kubwa ambalo sisi wengine hatulifahamu.
Lakini kuna jambo jingine nimejifunza, Kwamba Zahera anaipenda Yanga kutoka moyoni na anaishi na wachezaji kama mzazi anayestahili kuitwa mzazi.
Hata hivyo sitashangaa kusikia siku moja akifungashiwa virago, maana timu zetu hizi ni pasua kichwa kweli kweli.
Kwa wapenzi wa Yanga, Jamani turudisheni tena lile bakuli letu, kama wafadhili wamegoma? buku buku zetu zinatosha kabisa kuwatunza wachezaji wetu.