Ligi Kuu Tanzania Bara: Yanga vs African Lyon 28/08/2016

Kali neuro kwao
 
Licha ya kuwa tumewapiga bao 3 acha niseme wazi kuwa hawa madogo wanajua Mpira...

Yaani nilikuwa naona wanavyofanya build up ya mashambulizi kutoka nyuma kwenda mbele....

Hakika hawa madogo wakikutana na Wamchangani lazima wamchangani wakalishwe, tena kwa mabao mengi tu......
Kwa jinsi wamchangani walivyokuwa wanacheza na JKT Ruvu ambao walikuaa hawawezi kufanya build up ya mashambulizi.
 
Yanga leo wameonyesha tofauti Kubwa saaana na timu zingine za ligi kuu, kama ya mchangani na zinginezo.. Wanapanga mashambulizi kuanzia chini, hawapigi pigi tu ili ilimradi mpira uende mbele... Kama jamaa wale Ile juzi
 
jifunze kuweka akiba ya maneno, na sie tuliposhinda 3 tulikua na maneni kama haya
 
Yanga leo wameonyesha tofauti Kubwa saaana na timu zingine za ligi kuu, kama ya mchangani na zinginezo.. Wanapanga mashambulizi kuanzia chini, hawapigi pigi tu ili ilimradi mpira uende mbele... Kama jamaa wale Ile juzi
*-kweli mkuu,.. nasadiki maelezo yako 100%[emoji3]
 
ukumbuke kurudi baada ya mechi na JKT Ruvu
Huwaga hatufanani na hatutakuja kufanana hata siku moja... Mm nnapowaza niwe kama Mazembe, wewe utawaza uwe kama Yanga,. Sasa lini tutafanana? JkT Ruvu kwako wewe tu kaka...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…