Ligi Kuu Tanzania Bara: Yanga vs African Lyon 28/08/2016

mkuu nilidhani utaanza kwa kunipongeza kwa uvumilvu wa kurusha mabao yote matatu mubashara
Kwa kuwa JKT Ruvu mlitoa nao sare unadhani watapata pointi kwetu?

Jindaeni, Jumatano mnarejea kwenye nafasi yenu ya tatu.
 
mkuu nilidhani utaanza kwa kunipongeza kwa uvumilvu wa kurusha mabao yote matatu mubashara
Samahani Mkuu, nilijisahau tu. Hongera sana kwa mapenzi yako ya soka na kuamua kuturushia dondoo muhimu za mchezo huo. Endelea na moyo huo na Mungu akupatie afya njema, amina.
 
AMINA KUBWA ila ngumu sana kumesa pale unapotamani Lyon wasawazishe unakuta wanapigwa tatu na lazima ulete matokeo ...nimewazia sana watangazaji na marefa katika hili
 
Inabidi iwe hivyo hata kama hupendi Mkuu.😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉
 
Back
Top Bottom