Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahani Mkuu, nilijisahau tu. Hongera sana kwa mapenzi yako ya soka na kuamua kuturushia dondoo muhimu za mchezo huo. Endelea na moyo huo na Mungu akupatie afya njema, amina.mkuu nilidhani utaanza kwa kunipongeza kwa uvumilvu wa kurusha mabao yote matatu mubashara
AMINA KUBWA ila ngumu sana kumesa pale unapotamani Lyon wasawazishe unakuta wanapigwa tatu na lazima ulete matokeo ...nimewazia sana watangazaji na marefa katika hiliSamahani Mkuu, nilijisahau tu. Hongera sana kwa mapenzi yako ya soka na kuamua kuturushia dondoo muhimu za mchezo huo. Endelea na moyo huo na Mungu akupatie afya njema, amina.
Inabidi iwe hivyo hata kama hupendi Mkuu.😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉😉AMINA KUBWA ila ngumu sana kumesa pale unapotamani Lyon wasawazishe unakuta wanapigwa tatu na lazima ulete matokeo ...nimewazia sana watangazaji na marefa katika hili