Ligi Kuu Tanzania Bara, YOUNG AFRICANS Vs KMC machi 10, 2019 kutoka B.W Mkapa Stadium


Hilo goli la pili la Yanga linatia mashaka. Huyo beki amejifunga vipi kwa mtindo huo? Huyo beki amulikwe!!!!

Tiba
 
mbona unateseka sana au unafikiri kucheza mpira sawa na bao huku unakula kashata??

makosa kama hayo hutokea katika soka ni kawaida ndo mana mafia colombia walimpiga risas andres escobar
 
Nyi
Na Kweli mlifanya hivyo na Simba tarehe 16 Februari sijui mechi iliishaje?
Mliacha watangulie au sio???
Nyie tuliwaachia kidgo ili muongeeongee na kujambajamba kama kawaida enu... Ukizingatia siku chache mlikuwa mnatoka kuugulia zile 10 kwa mtungi toka kwa Alhaly na vita..
Sasa kazi mnayo tar 16 ya mwez huu, mtakimbiana hapo kwa mchina.. Maana hata nguvu za kung'oa viti hamtakuwanazo
 
Mlituachia "kidogo".Kimoko kilijaa ndani na mkapiga vigelegele.
Ushabiki wenu siku hizi kushangilia timu za nje.Hapa nyumbani hatuna mpinzani. Wengine wakifungwa moja wanafanya maandamano kusheherekea.
Kocha wenu akicheza na Simba anaweka mabeki 8.
 
Tukumbushane assists
za *ALLY ALLY VS YANGA*

*1. Yanga vs Stand United ,2018*
Shuti toka kwa *Yusuf Muhilu* ally ally akajifunga ktk harakat za kuokoa mpira

*2. KMC VS YANGA ,2019*
*ALLY ALLY* alisababisha faulo katika nje ya penat area na hatimaye *FEISAL SALUMU* Kufunga bao la ushindi

*3. YANGA VS KMC 2019*
Kroc iliyopigwa na *IBRAHIM AJIB* ikamkuta *ALLY ALLY* aliyejifunga *KWA KICHWA SAAFI KABISA* na kupelekea ushindi kwa Yanga katika harakat za kuokoa mpira huo.


Na huo ndo *UMUHIM WA ALLY ALLY* kwa *YANGA*
 
Huyo dogo ni Yanga Lialia, kama Abukar Salum wa Azam FC.
Wakicheza na Yanga wanageuka kuwa Wachezaji wa Yanga.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
ALLY ALLY hahahahahahaha just hahahahahahahaha aiseeeee,kashindwa hata kupiga na chest au tumbo kuutuliza kwa keeper au diving header ya kuutoa nje?ingekuwa simba mtu kajifungha goal la vile kesho zahera angefanya media tour kulalamika,aiseee just aiseeee
 
Reactions: Tui
Nimecheeeka. lol.

MAHABA YAKE TU KWA TIMU YA WANANCHI HAKUNA KINGINE
 
Inaelekea unateseka sana...pole kwa maumivu Ndugu yangu, pole sana kwa kweli....unaumia sana, jana umeumia, leo pia umeumia halafu bado na vita ambapo inaelekea 'wananchi' watakosa uzalendo na kuwa upande wa vita
Anatamani kulia aiseee.

Si wana kamsemo kao eti kila mtu ashinde mechi zake. Sisi tunasonga mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…