Tiba
JF-Expert Member
- Jul 15, 2008
- 4,605
- 3,176
Kocha wa KMC mwangali kwa umakini mchezaji wako Beki Ali Ali.
Mechi ya kwanza ndiye aliyesababisha goli dakika ya 90, kwa kumfanyia faulo ya makusudi, Makambo karibu ya 18. Feitoto akafunga goli.
Mechi ya pili anafunga goli yeye mwenyewe kuwasaidia Yanga fc goli moja.
Angeacha ile krosi ingetoka na kuwa Goal Kik.
Mpeleke hata kwa mkopo Ali Ali Yanga fc.
Ndio timu yake pendwa.
La sivyo atakughalimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo goli la pili la Yanga linatia mashaka. Huyo beki amejifunga vipi kwa mtindo huo? Huyo beki amulikwe!!!!
Tiba