Ligi Kuu Tanzania Bara, YOUNG AFRICANS Vs KMC machi 10, 2019 kutoka B.W Mkapa Stadium

mbona unateseka sana au unafikiri kucheza mpira sawa na bao huku unakula kashata??

makosa kama hayo hutokea katika soka ni kawaida ndo mana mafia colombia walimpiga risas andres escobar

Post zako Mkuu zinanifurahisha sana aiseee. Hazijawahi fanana hizo kitu mpira ni mpira na bao huku wanakula kashata hilo ni bao. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Ally Ally alijua anaokoa kumbe anafunga bao. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… NOMA SANA
 
Post zako Mkuu zinanifurahisha sana aiseee. Hazijawahi fanana hizo kitu mpira ni mpira na bao huku wanakula kashata hilo ni bao. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Ally Ally alijua anaokoa kumbe anafunga bao. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Mikia baada ya manji kuondoka wakajua itashuka daraja sasa wanateseka wanapoiona ipo kileleni

Yanga timu ya wananchi sijui hawa mikia hawaelewiiiiiiiiiii
 
Yanga mnatakiwa tu mfurahi kwa sababu ya kupata point 3 kwa msaada wa Ally Ally.
Mi nilijua KMC wanapata goli la pili kumbe Ally ameamua awafungie Yanga.
Kweli nimeamini ndo mana Yanga wanatawala vyombo vya habari ili kufunika hujuma zao wanazofanya ili wapate matokeo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa KMC magoli haya wangekuwa wamecheza na Simba wangeambiwa wameuza mechi, Beki anadive kabisa kujipiga mwenyewe goli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ile krosi ya ajib imepimwa na rula yan yule hata asingeigusa ilikua inamkuta makambo,dogo alichokifanya ni kumpunguzia idadi ya magoli tu makambo,bila kusahau dogo kawakosesha wenzie m 5 maana mikia wananunua mechi za Yanga,m 10 ukiifunga Yanga m 5 mkidroo
 
Yule dogo kanunuliwa hawezi kudive vile na kujifunga,hongereni kununua mechi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msisahau kumtumia yule dogo na ya kutolea..


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Munaongoza nini hapa Mtani? 😳😳

View attachment 1042896
Mtani mtani mtani!😝😝 Yanga PLD mechi 27 SIMBA PLD mechi 20 tunapoint hizo piga hesabuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
.
Kumbuka Azam wako kwenye Fatigue ni mnakufa kwa hiyo mtazidi kuongeza wigo wa point mpaka sasa tunawazidi 6
 
Sasa unajuaje kama Mtatoboa kwenye hizo viporo Mtani au unapiga mahesabu ambayo hata kwa wakati huu hayapo.

Kabla hatujacheza na wale MBAO mlisemaga hivi hivi ila mwisho wa siku tukamkalisha huko huko kwao Mwanza na mwisho wa siku mkabaki na bumbuwazi. Hivyo kwa Azam tutawaachia bumbuwazi ka lile.

Mtani mtani mtani![emoji13][emoji13] Yanga PLD mechi 27 SIMBA PLD mechi 20 tunapoint hizo piga hesabu[emoji23][emoji23][emoji23]
.
Kumbuka Azam wako kwenye Fatigue ni mnakufa kwa hiyo mtazidi kuongeza wigo wa point mpaka sasa tunawazidi 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…