Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
mbona unateseka sana au unafikiri kucheza mpira sawa na bao huku unakula kashata??
makosa kama hayo hutokea katika soka ni kawaida ndo mana mafia colombia walimpiga risas andres escobar
Post zako Mkuu zinanifurahisha sana aiseee. Hazijawahi fanana hizo kitu mpira ni mpira na bao huku wanakula kashata hilo ni bao. 😀😀😀
Ally Ally alijua anaokoa kumbe anafunga bao. 😀😀😀