mwangalingimungu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,301
- 733
Kama ambavyo AJ Soura wanapaswa kumfurahia Shabalala kwa ile penalti ya goli la pili?Yanga mnatakiwa tu mfurahi kwa sababu ya kupata point 3 kwa msaada wa Ally Ally.
Mi nilijua KMC wanapata goli la pili kumbe Ally ameamua awafungie Yanga.
Kweli nimeamini ndo mana Yanga wanatawala vyombo vya habari ili kufunika hujuma zao wanazofanya ili wapate matokeo.
Sent using Jamii Forums mobile app
ukishambuliwa sana hakuna namna zaidi ya kujifungaHilo goli la pili la Yanga linatia mashaka. Huyo beki amejifunga vipi kwa mtindo huo? Huyo beki amulikwe!!!!
Tiba
Kwani kumnunua Ally Ally unahitaji mabilioni?Krosi ya vipimo ile,au hujamsikia mwl kashasha,hela ya kununulia mechi tuitoe wapi sie!
Jana Mikia baada ya dk 90 wakati tunatoka wakawa na hasira as if sisi ni Js SouraNAULIZA NANI ANATESEKA MKUU ππππ
Hawa ndo wanaenda na matokeo yao uwanjaniVp Mtani walifanya kweli?
Hahahaaaa. Walitaka yatupate kama yao.Jana Mikia baada ya dk 90 wakati tunatoka wakawa na hasira as if sisi ni Js Soura
πππ walikuwa wanashangilia jana pale Taifa hasa baada ya KMC kuongozaHahahaaaa. Walitaka yatupate kama yao.
Kumbe tumemtanguliza kwa baiskeli ya Miti. ππππππ walikuwa wanashangilia jana pale Taifa hasa baada ya KMC kuongoza
Mtoto hatakiwi umkalipie unambembelezaKumbe tumemtanguliza kwa baiskeli ya Miti. πππ
Kweli shemela.Shemela Weekend hiyo mambo zinakuwaga mingi.
Yanga Oyeeeeee.
Sasa unajuaje kama Mtatoboa kwenye hizo viporo Mtani au unapiga mahesabu ambayo hata kwa wakati huu hayapo.
Kabla hatujacheza na wale MBAO mlisemaga hivi hivi ila mwisho wa siku tukamkalisha huko huko kwao Mwanza na mwisho wa siku mkabaki na bumbuwazi. Hivyo kwa Azam tutawaachia bumbuwazi ka lile.
Huh, ndio inafahamika JF inatumia internet, sasa kama nipo eneo ambalo internet ni tatizo je? ndio maana unaona nimepost thread nikaacha ili baadae nipate updates kamili na nimeshazipataJF inatumia internet mtandao ukisumbua sasa hata hizi updates utazipataje