Ligi kuu Tanzania bara

Ligi kuu Tanzania bara

Upendeleo uliopo ni wa kimaslahi tu. Hakuna sababu nyingine. Na ukiona hivyo vilabu vidogo vimeamua kutulia tu huku vikiwa na uwezo wa kutoa malalamiko yao kwenye Bodi ya Ligi, basi unatakiwa ukubali tu matokeo.

Hata mimi pia siungi mkono timu kucheza saa nane mchana! Lakini ndiyo hivyo tena, wanazihitaji hela za Mdhamini (Azam Media) kwa ajili ya kujiendesha.

Na huyo Mdhamini pia angependa kuona watu wengi wakifuatilia matangazo kupitia king'amuzi chake! Na kwa bahati mbaya, hiyo saa 8 watu wengi bado wanakua wako kazini.
Umeeleweka mkuu sana. Wengi tuliona ni ubaguzi kumbe ni lazima iwe ivyo!
 
Kwa kweli ligi kwa sasa ni tamu sana hongereni club zote zanazo shiriki ligi hii matokea ya michezo ya leo ni kwamba mpira sasa umeanza kueleweka kila kona ya Tanzania. Timu kubwa mjipange sana na mbadilike, mazoea sasa wekeni pembeni point tatu kuchukua sio rahisi kama ilivyokuwa zamani.
Mm nakereka na viwanja vya mikoani nivibovu Sana serikali inatakiwa kuboresha hv viwanja angalau kwenye pitch ziwe za kimataifa
 
Back
Top Bottom