Ligi kuu Tanzania Simba Vs Stand United Machi 3 2019

Ligi kuu Tanzania Simba Vs Stand United Machi 3 2019

"Stand msikubali mil 10 tunajuwa uwezo wenu mkiuza mechi tunajuwa kabisa maana simba si kitu kwenu na huwa hapindui sasa jichanganyeni mshuke daraja[emoji12]" alisikika Msukuma mmoja huko Shinyanga akijinasibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaa huyu jamaa alinifuraisha kwenye mechi ile ya lipuli na simba, nilimuuliza vipi tumenunua akasema ndio simba mmenunua mechi. Tulivyowapiga goli la kwanza la kuwatoa mawenge, akaanza kubwata "nilisema mimi simba wamenunua mechi hii ona sasa gori la kizembe lipuli wameruhusu ". Baada ya muda wakarudisha ikawa 1-1 nikamuuliza tena vipi iweje tununue mechi halafu warudishe goli, akasema "kwa taarifa nilizozipata zinasema lipuli wamekataa kufanyiwa muamala na simba"

Zilivyoingia zile mbili mfululizo akaanza kuongea kua simba imenunua mechi wakati mwanzo alikanusha

Sent using unknown device
 
Back
Top Bottom