100 Likes
JF-Expert Member
- Nov 5, 2018
- 2,416
- 5,165
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kabisa mkuu anatenda hakiTunafatilia mkuu, pamoja na kwamba huyu Joseverest ni chura, mpaka dakika hii kautendea haki uzi.
Yuko fair tu.Ningekuwa uwanjani huyu refa angekula ngumi za kutosha
Fair kwa Stend,penati 3 kazifutaYuko fair tu.
Uchebe anabania wachezaji wa kumpiga mwarabuKwanini alimuacha Kagere nae huyu mzungu? Sasa hivi tungekuwa tunashangilia goli
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa huyu jamaa alinifuraisha kwenye mechi ile ya lipuli na simba, nilimuuliza vipi tumenunua akasema ndio simba mmenunua mechi. Tulivyowapiga goli la kwanza la kuwatoa mawenge, akaanza kubwata "nilisema mimi simba wamenunua mechi hii ona sasa gori la kizembe lipuli wameruhusu ". Baada ya muda wakarudisha ikawa 1-1 nikamuuliza tena vipi iweje tununue mechi halafu warudishe goli, akasema "kwa taarifa nilizozipata zinasema lipuli wamekataa kufanyiwa muamala na simba"
Azam app gani ninyi mnazungumzia? Mm king'amuzi sijalipia nimetoka kuangalia kwenye cm half time saa hz ndio naingia jf jana pia nimecheki game ya yanga!
Labda una matatzo binafsi asee jana nimeangalia game ya yanga na leo pia nlikuwa nacheki game ya simba fresh kabisa half time now ndio naingia jf!azam app sikuizi hata hawaonyeshi hizi mechi wamekuwa wa hovyo sana
Sio peke yake hata mimi Azam app haina azam sport 2Labda una matatzo binafsi asee jana nimeangalia game ya yanga na leo pia nlikuwa nacheki game ya simba fresh kabisa half time now ndio naingia jf!
Sent using Jamii Forums mobile app