Ligi Kuu tar 18/04/ 2015: Mbeya City vs Simba

Msimu huu si wetu kwa kweli

Mtani hapo mimi ndio huwa unaniacha hoi. Hebu niambie mtani, msimu upi kwenu ulikuwa vizuri katika miaka ya hivi karibuni? Mi nnachojua nyie kila msimu unapokuja huwa mna kauli yenu ya "MNAJENGA TIMU". Sijui itaisha lini kujengwa.
 
Mpira kwishnei,,,,,,poleni Simba..... Msibweteke kuwafunga Yanga tu.....Mpira ni zaidi ya kuwakamia Yanga!
 
Kupanda ndege na kuishia raundi ya kwanza ni hasara tu. Timu zinaanza kufaidi ruzuku ya CAF zinapofika robo fainali. Simba ijipange, mwaka 2017 icheze robo fainali za CAF. Hawa wengine naona wanachofurahia ni kupanda ndege!
Sizitaki mbichi hizi.!
 
Mtani hapo mimi ndio huwa unaniacha hoi. Hebu niambie mtani, msimu upi kwenu ulikuwa vizuri katika miaka ya hivi karibuni? Mi nnachojua nyie kila msimu unapokuja huwa mna kauli yenu ya "MNAJENGA TIMU". Sijui itaisha lini kujengwa.

Tunapiga bati sasa
 
Kupanda ndege na kuishia raundi ya kwanza ni hasara tu. Timu zinaanza kufaidi ruzuku ya CAF zinapofika robo fainali. Simba ijipange, mwaka 2017 icheze robo fainali za CAF. Hawa wengine naona wanachofurahia ni kupanda ndege!

Duh!, sasa hao mikia wanafurahi kupanda mabasi kwenda mikoani tu halafu wanafungwa. Sasa hiyo robo fainali ya CAF watacheza na freemassons ?
 
ndivyo yule mhaini wenu alivyowadandanya nyie pakashumi?
 
Duh!, sasa hao mikia wanafurahi kupanda mabasi kwenda mikoani tu halafu wanafungwa. Sasa hiyo robo fainali ya CAF watacheza na freemassons ?
mkuu usiumize kichwa kabisa achana na hao mambumbumbu hawajielew kabisa.. ndio maana RAGE aliwaita mambumbumbu.....hizo stori za kutengeneza timu huwa tunazisikia kila mwaka imeshakuwa kama kakibwagizo kenu
 
10314554_1590474581208423_4895965038252588679_n.jpg
 
Mtani hapo mimi ndio huwa unaniacha hoi. Hebu niambie mtani, msimu upi kwenu ulikuwa vizuri katika miaka ya hivi karibuni? Mi nnachojua nyie kila msimu unapokuja huwa mna kauli yenu ya "MNAJENGA TIMU". Sijui itaisha lini kujengwa.

Labda Mungu kasimamisha umri wa wachezaji wao usiende mbele. Mana wanajenga timu huku wanazidi kuwa wazee
 
Back
Top Bottom