mkuu watu8 nitake radhi mimi sio mikiaMkichapwa la 3 ndio utaisha...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu watu8 nitake radhi mimi sio mikiaMkichapwa la 3 ndio utaisha...
Msimu huu si wetu kwa kweli
Sizitaki mbichi hizi.!Kupanda ndege na kuishia raundi ya kwanza ni hasara tu. Timu zinaanza kufaidi ruzuku ya CAF zinapofika robo fainali. Simba ijipange, mwaka 2017 icheze robo fainali za CAF. Hawa wengine naona wanachofurahia ni kupanda ndege!
Mtani hapo mimi ndio huwa unaniacha hoi. Hebu niambie mtani, msimu upi kwenu ulikuwa vizuri katika miaka ya hivi karibuni? Mi nnachojua nyie kila msimu unapokuja huwa mna kauli yenu ya "MNAJENGA TIMU". Sijui itaisha lini kujengwa.
Sizitaki mbichi hizi.!
mkuu watu8 nitake radhi mimi sio mikia
Kupanda ndege na kuishia raundi ya kwanza ni hasara tu. Timu zinaanza kufaidi ruzuku ya CAF zinapofika robo fainali. Simba ijipange, mwaka 2017 icheze robo fainali za CAF. Hawa wengine naona wanachofurahia ni kupanda ndege!
ndivyo yule mhaini wenu alivyowadandanya nyie pakashumi?Kupanda ndege na kuishia raundi ya kwanza ni hasara tu. Timu zinaanza kufaidi ruzuku ya CAF zinapofika robo fainali. Simba ijipange, mwaka 2017 icheze robo fainali za CAF. Hawa wengine naona wanachofurahia ni kupanda ndege!
unalia nin sasa.......... kanye hukooooHata tufungwe, ili mradi tusifungwe na yanga tu...
kwani okwi hakuweko leo
mkuu usiumize kichwa kabisa achana na hao mambumbumbu hawajielew kabisa.. ndio maana RAGE aliwaita mambumbumbu.....hizo stori za kutengeneza timu huwa tunazisikia kila mwaka imeshakuwa kama kakibwagizo kenuDuh!, sasa hao mikia wanafurahi kupanda mabasi kwenda mikoani tu halafu wanafungwa. Sasa hiyo robo fainali ya CAF watacheza na freemassons ?
Mtani hapo mimi ndio huwa unaniacha hoi. Hebu niambie mtani, msimu upi kwenu ulikuwa vizuri katika miaka ya hivi karibuni? Mi nnachojua nyie kila msimu unapokuja huwa mna kauli yenu ya "MNAJENGA TIMU". Sijui itaisha lini kujengwa.
pamoja sana mkuu...DAIMA MBELE NYUMA MWIKOHahaha....haya kumradhi mkuu nikajua ni mkia fc
OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE mku sis ni wahapa hapa tu mabonanza yanatutosha sana huko kwingine waachie YANGA na AzamMIKIA hoyeeeeeeeeeee