Ligi Kuu Vodacom: Leo tar 22/2/2015

Ligi Kuu Vodacom: Leo tar 22/2/2015

Mtoto halali na hela yake nepi tu, MC lazima alie tu.
 
Mkuu sema kama una uhakika, maana mpaka dakika ya 43 bado stand walikuwa wanaongoza.


Pole kiongozi naona kama vile hauko vizuri,
usijali mtatoka suluhu na hao stend u.
 
Wadau mnapoandika muwe specific, sasa unaposema balaa bila kusema ni balaa gani unatuchanganya wadau wenzako.

Nahisi wengi huu mpira hawauangalii au kuusikia wanatuchanganya tu tunaofuatilia hapa kwa updates.
 
Pole kiongozi naona kama vile hauko vizuri,
usijali mtatoka suluhu na ho stend u.
Mkuu shaka ondoa niko imara kama chuma cha pua na hisia zangu bado zinaniambia hii mechi tunashinda.
 
Back
Top Bottom