Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Msuvaaaaaaaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeipokea.Shikamoo Masuke
Mkuu upo?? Longtime! SIMBA OyeeeeeeeeeKambarage nini kinaendelea??
Ya kweli hayo.....Stand united 1 Simba 0
Mkuu upo?? Longtime! SIMBA Oyeeeeeeeee
Mkuu sema kama una uhakika, maana mpaka dakika ya 43 bado stand walikuwa wanaongoza.Nasikia kambarage ni 1 - 1.
Ya kweli hayo.....
Ya kweli hayo.....
Kudadadadeeeki Msuva
Wadau mnapoandika muwe specific, sasa unaposema balaa bila kusema ni balaa gani unatuchanganya wadau wenzako.Hizi mechi za leo mbona balaa hivyo.
Mkuu sema kama una uhakika, maana mpaka dakika ya 43 bado stand walikuwa wanaongoza.
Mkuu sema kama una uhakika, maana mpaka dakika ya 43 bado stand walikuwa wanaongoza.
Usitake kuwafariji mikiaNasikia kambarage ni 1 - 1.
Wadau mnapoandika muwe specific, sasa unaposema balaa bila kusema ni balaa gani unatuchanganya wadau wenzako.
Mkuu shaka ondoa niko imara kama chuma cha pua na hisia zangu bado zinaniambia hii mechi tunashinda.Pole kiongozi naona kama vile hauko vizuri,
usijali mtatoka suluhu na ho stend u.