Ligi Kuu Vodacom: Leo tar 22/2/2015

Ligi Kuu Vodacom: Leo tar 22/2/2015

Refa anainyima Yanga penalty ya wazi kabisa, baada msuva kuangushwa na kipa Akiwa mshambuliaji wa mwisho.
 
Rage apewe timu mpaka ligi itakapo isha vinginevyo aibu kubwa inakuja. FOS kwenye utawala sio wazuri.
 
Mic yu more aiseee,unaharib kaz sasa kushanglia yanga.........
Simba damu

Ohoo, kumbe wewe ni simba?
Uwiiiii...pole sana!
Yanga ndio kubwa lao bwana, huoni mambo yetu yalivyo makubwa?
 
Ewe ibilisi mwenye sura mbaya unayeishi katikati ya bahari ya Shamu, ibariki simba iendelee kufungwa au kutoa droo mpaka mwisho wa ligi, au endelea kushikiria mkia wake mpaka ashuke daraja
 
Hawa stand united wametupatia kweli, hongera zenu na inabidi mkaze na mechi zilizobaki msije mkashuka daraja.
 
Back
Top Bottom