akili akili
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 1,737
- 1,102
Na wauza vitumbua wa Chamanzi vipi, mwenye update atiririke...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sim za wachina chaji shida. Bon do la Voda nalo mb8 dash shidaNdomyana uli myee nkamu ghwangu sikwagile inyali?
Kutokana
na kiwango kizuri cha yanga kwa sasa leo ni ushindi tu na kwa ubovu wa simba ni kupigwa tu na stend united
Kutokana
na kiwango kizuri cha yanga kwa sasa leo ni ushindi tu na kwa ubovu wa simba ni kupigwa tu na stend united
Aisee una shida sana wewe, kati ya timu zote ulikosa ya kushabikia ukaamua kushabikia Yeboyebo? Si bora ungeshabikia hata Mbanga FC.Mie yanga.. umenifananisha tu na huyo mwalimu
Prison leo wamewabana Azam wametoka sare 0-0