Ligi Kuu Vodacom: Simba Vs Mbeya City

Ligi Kuu Vodacom: Simba Vs Mbeya City

Mlimfukuza Kerr tatizo lilikuwa lugha ilikuwa haipandi kabisa kwa wachezaji. Mayanja angalau anachanganya na kiswahili mbofumbofu kidogo inawasaidia kushinda.
Wachezaji wanao jua kiingereza Simba ni Kiiza, Juuko na Majabvi. Walio salia ni akina mimi Maimuna.
 
Gooooh Ajibu amejibu.amepiga locomotive skills.Zimba 2 na mpira umekwishaaa
 
hongereni wa mchangani now you can Resp In Peace hapo juu kwa mda wa kama siku tatu hivi
 
Back
Top Bottom