Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Ligi kuu huwa inasimama kupisha mechi za timu za taifa. Je! Wakati Augustine Okrah atakapokuwa anaiwakilisha Ghana itabidi ligi kuu Tanzania bara isimame?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
-SopuVitu wanavyoshangilia makolo msimu huu:
- "Babula" kateuliwa CAF.
- Okrah kaitwa timu ya taifa
- "lete mdhunguuuu"
Makolo mmepoteana asee!
Vipi, mlishaenda kumsalimia shemeji mpya kule kwa Bugatti?Vitu wanavyoshangilia makolo msimu huu:
- "Babula" kateuliwa CAF.
- Okrah kaitwa timu ya taifa
- "lete mdhunguuuu"
Makolo mmepoteana asee!
Kwani huyo Okrah mwenyewe anasemaje?Ligi kuu huwa inasimama kupisha mechi za timu za taifa. Je! Wakati Augustine Okrah atakapokuwa anaiwakilisha Ghana itabidi ligi kuu Tanzania bara isimame?
Anasubiria tamko la tff.Kwani huyo Okrah mwenyewe anasemaje?
Oprah si anacheza Simba queens au who is she?Ligi kuu huwa inasimama kupisha mechi za timu za taifa. Je! Wakati Augustine Okrah atakapokuwa anaiwakilisha Ghana itabidi ligi kuu Tanzania bara isimame?
Naona uto umejaza ujinga kichwani.Oprah si anacheza Simba queens au who is she?
Isn't she?Naona uto umejaza ujinga kichwani.
Wewe ndio kocha wa black stars?Huyo Okrah hawezi kuwepo kwenye kikosi cha mwisho kitakachoteuliwa kushiriki kombe la dunia kwani uwezo wake ni mdogo sana.
Uwezo wake ni mdogo ukimlinganisha na nani?Huyo Okrah hawezi kuwepo kwenye kikosi cha mwisho kitakachoteuliwa kushiriki kombe la dunia kwani uwezo wake ni mdogo sana.
Na OprahUwezo wake ni mdogo ukimlinganisha na nani?
Wanawake huwa mnaoneana wivu sanaNa Oprah
Ndio mpo hivyo ni natureWanawake huwa mnaoneana wivu sana
Ukimlinganisha na wale professionals wanaotoka Ulaya.Uwezo wake ni mdogo ukimlinganisha na nani?
Hapana, kocha wa Black Stars anaitwa Otto Addo.Wewe ndio kocha wa black stars?
Kwanini unataka kufanya maamuzi kwa niaba yake?Hapana, kocha wa Black Stars anaitwa Otto Addo.