Ligi kuu ya NBC itasimama wakati Okrah atakapokuwa kwenye kombe la dunia?

Ligi kuu huwa inasimama kupisha mechi za timu za taifa. Je! Wakati Augustine Okrah atakapokuwa anaiwakilisha Ghana itabidi ligi kuu Tanzania bara isimame?
Hivi okra ndio bamia eeh ?
 
Kwanini unataka kufanya maamuzi kwa niaba yake?
Bwana acha ubishi, huyo sijui Okrah hawezi kuchaguliwa kwenda kombe la dunia kwa mpira anaocheza tena nchi yenyewe Tanzania wakaachwa Europe based professionals.
 
Hilo tumwachie kocha atakapoita kikosi cha world cup.
 
Back
Top Bottom