Ligi kuu ya NBC itasimama wakati Okrah atakapokuwa kwenye kombe la dunia?

Ligi kuu huwa inasimama kupisha mechi za timu za taifa. Je! Wakati Augustine Okrah atakapokuwa anaiwakilisha Ghana itabidi ligi kuu Tanzania bara isimame?
Hapana mkuu sio lazima Huwa mpk wachezaji wafike watu ndo wanalazimika,mengineyo Huwa ni busara tu
 
Ligi kuu huwa inasimama kupisha mechi za timu za taifa. Je! Wakati Augustine Okrah atakapokuwa anaiwakilisha Ghana itabidi ligi kuu Tanzania bara isimame?
Hivi okra ndio bamia eeh ?
 
Kwanini unataka kufanya maamuzi kwa niaba yake?
Bwana acha ubishi, huyo sijui Okrah hawezi kuchaguliwa kwenda kombe la dunia kwa mpira anaocheza tena nchi yenyewe Tanzania wakaachwa Europe based professionals.
 
Hilo tumwachie kocha atakapoita kikosi cha world cup.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…