W'Aleykum Salaam.Uuuuwiii ujue sijakuona rafiki. Yaani nakuwazia moyoni nikijua uko taifa ujue.
Pole jamaani.
A'aleykum!
SasaSasa tusubiri mpk September 30 ,au maaamuzi magumu yafanyike sasa ?
Hahahaha! KidevuuINA maana muzungu kidevu tumfukuze?
Mashabiki wamechachamaaMbao wanamfukuzisha kazi coacher wa Simba mapema kabisa
Kaingia kipindi cha pili Hakugusa hàta mpira mpaka mèchi inaishaMK14 hakuwepo au?
Mmmh kweli yafanyike maamuzi magumuSasa
Kidevu bana ,kazi inaelekea kumshindaHahahaha! Kidevuu
Mwezanguu Ila Sidhani Kma Tutadoda Kiasi Hiki Mechi ya Leo Itawafumbua Macho Hawa Viongozi.
Yule atasepa tù kama lachanteMashabiki wamechachamaa
Naona moto wake umekata sasaKaingia kipindi cha pili Hakugusa hàta mpira mpaka mèchi inaisha
Mviziaji yulē mrija ukikatwa tu hana ujanjaNaona moto wake umekata sasa
Hmmmn! Alikuwa Anakimbia tuuh!Kaingia kipindi cha pili Hakugusa hàta mpira mpaka mèchi inaisha
Kukimbia kwenyewe pumzi haìpate wapi babu yuleHmmmn! Alikuwa Anakimbia tuuh!