Ligi Kuu ya Tanzania Bara: Mbao FC yaitandika Simba SC kwa goli 1-0

Ligi Kuu ya Tanzania Bara: Mbao FC yaitandika Simba SC kwa goli 1-0

Kwani kimetokea nini jamani?
Ebhu ona kilicgojir
IMG-20180920-WA0000.jpg
 
Poleni Wana Simba, Poleni Uongozi wa Klabu,Pole Manara huo ndiyo mpira dakika 90. Sasa tuwasubiri watani wa jadi. Usajii mlifanya wa nguvu lakini mpira ndo ulivyo.
Wamefanyweje hao simba....
ama wamerukishwa ukuta
 
Kawaida man city mwenyewe anafungwa sembuse simba subirini gongowazi watoke
 
Back
Top Bottom