Ligi Kuu ya Tanzania Bara: Mbao FC yaitandika Simba SC kwa goli 1-0

Ligi Kuu ya Tanzania Bara: Mbao FC yaitandika Simba SC kwa goli 1-0

Timu kubwa lazima iwe na mbinu za ku break deadlock; timu kama mbao ikikutangulia kama huna mbinu mbadala umekwisha....ndiyo maana soka inapendwa mno....soka ni zaidi ya sayansi......

Bechi la ufundi lina nafasi kubwa sana katika soka; hebu ona Chelsea ilivyobadilika ghafla baada ya kucheza soka ya tupia twende kwa miaka lukuki.....

Bechi la ufundi lina maana kubwa mno....
 
Naona Haji manara atakuwa black soon tu....
sisi YANGA tunaendesha timu kwa kutegemea rambirambi ya mashabiki ila kichapo tunatoa sana tu
 
Timu inacheza Vizuri tatizo soka la Bongo, hatutaki kufungwa.
Hasa sisi wakujiita wakongwe simba na yanga! Kweli timu inacheza vizuri kbsa lakini tujipe moyo muda bado
 
Soka LA bongo Lina tatizo gani mkuu? Nadhani kufungwa ni sehemu ya mchezo, hata huko majuu ambako tunaiga ligi zao, tumeshuhudia Mara kibao timu maarufu sana zikipoteza mchezo. Tatizo no sisi mashabiki wa kibongo na siyo ligi ya bongo.
Timu inacheza Vizuri tatizo soka la Bongo, hatutaki kufungwa.
 
7D4C4385-500B-4F40-A80C-D083A74692E8.gif
 
SIMBA NGUVU MOJA... Ligi bado mbichi sana, kupoteza ni sehemu ya mchezo.. Tujipange kwa game ijayo.
Hongera MBAO kwa kuwin point zote 3.. Tunatambua ubora wenu mkiwa Kirumba Mwanza.
SIMBA tunacheza popote sio wale wanaokusanya mapato ya nyumbani ili walipe madeni+mishahara.
#SIMBASC
 
Waliosababisha simba ifungwe sio wengin zaid ya CHADEMA wachelewesa maendeleo!!![emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom