Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Si wana kikosi kipana wanadaiMpira wa simba hakuna kitu kuna hatihati msimu huu wakatoka weupe kabisa....
Ebhu ona kilicgojirKwani kimetokea nini jamani?
Mbao zimekula simbaKwani kimetokea nini jamani?
Wamefungwa 1-0 na Mbao fcWamefanyaje?
WozahaaaaaBeiiiiiiiiiiiira
Mambao hayoooooWoyooooooooooooo.
Mbao kawauwa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Paka Nyau kapigwaNgapi ngapi huko?
Wamefanyweje hao simba....Poleni Wana Simba, Poleni Uongozi wa Klabu,Pole Manara huo ndiyo mpira dakika 90. Sasa tuwasubiri watani wa jadi. Usajii mlifanya wa nguvu lakini mpira ndo ulivyo.
Walishapoteana kuanzia kwenye usajili.... Hawataona impact yake kwasasa ... Ila wajiandae kisaikolojiaHiyo ni juu yao japo nasikia hawaelewani
Simba kapigwa kimoja kama cha Libolo fcKwani kimetokea nini jamani?
Kikosi kineneeeSi wana kikosi kipana wanadai
Mchezo wa nguruwe huo. Mtu kapigwa mbao ya matakoSimba kapigwa kimoja kama cha Libolo fc